The Jems Prawns Supplier Company has signed the sponsorship agreement with our Jang'ombe Boys FC team, in which earlier the company has been involved in funding for equipments including exercise and jersey for matches.
The company has decided to enter into the sponsorship as it believes that, it is one among the best way to advertise and promote its business through football players & teams, especially for the Jang'ombe boys FC team.
Hence, Jang'ombe Boys FC invites all business owners and traders to advertise their business through our team, you are always welcome.
Tafsiri:
Kampuni ya usambazaji wa vyakula vya baharini inayujulikana kwa jina la "Jems Prawns Supplier" imeingia makubaliano hayo ya ufadhili na timu yetu Jang'ombe Boys FC, kwa hatua za awali kampuni hio imejikita katika kufadhili wa vifaa vya wachezaji vikiwemo vile vya mazoezi pamoja na jezi kwa ajili ya mechi.
Baadhi ya vifaa vya mazoezi vilivyokabidhiwa
na kampuni ya "Jems Prawns Supplier".
Kampuni hio imeamua kuingia katika ufadhili huo kwa kuwa inaamini ni njia moja sahihi ya kutangaza na kukuza biashara yake kupitia kwa wadau wa mpira wa miguu hususan wanaofuatilia timu ya Jang'ombe boys FC.
Jang'ombe Boys FC inawakaribisha wafanyabiashara wote kutangaza biashara zao kupitia timu yetu, nyote mnakaribishwa.

Maoni
Chapisha Maoni