JANGOMBE BOYS VS BLACK SAILOR 18/10/2017


Hichi ndio kikosi cha awali kinachotarajiwa kucheza na Black Sailor, hizi ni taarifa za awali za benchi la ufundi mabadiliko yeyote yanaweza kutokea kabla ya mchezo

Wachezaji wa akiba ni:
Hasham, Hussen, Khelfeni, Abdahman, Abubakar na Abdallah.

Kila la kheri katika mchezo wa leo.

Maoni