KENYA NO MORE HOSTING CHAN 2018 COMPETITION

CAF Executive committee has stripped of the right to Kenya to host the 2018 African Nations Championship competition (CHAN) in Accra.
The decision was announced at a media conference after a one-day meeting headed by Caf's president Ahmad.



The 16-team tournament for locally-based players only, is scheduled to take place between 12 January and 4 February 2018.



TAFSIRI:

KENYA SI WENYEJI TENA WA MASHINDANO  YA KOMBE LA AFRIKA KWA WACHEZAJI WA NDANI (CHAN 2018)

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) yaipoka Kenya haki ya kuandaa michuano ya Kombe la Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) kutokana na kusuasua katika maandalizi.


Ahmad Ahmad - Rais wa Shirikisho la
mpira wa Miguu barani Africa.

Uamuzi huo umefanywa na kamati ya utendaji ya Shirikisho hilo katika kikao chake kilichofanyika nchini Ghana kikiongozwa na rais wake Ahmad Ahmad.


Kutokamilika kwa ripoti za maandalizi kwa wakati na hali ya kisiasa nchini humo ni miongoni mwa sababu zilizotajwa kuipoka nchi hiyo bahati hiyo.

Maoni