Usikose kumuangalia mchezaji wetu mpya wenye jezi nambari 15 anaitwa Helfini Salum, amesajiliwa akitokea klabu ya Kilimani City Zanzibar.
Kumbuka tutakuletea video tofauti za wachezaji wetu wote waliopo katika timu yetu, tayari kazi hii ya kutengeneza "clip" ameshakabidhiwa Hazard kwa udhamini wa Almar Travel & Tours Ltd Zanzibar.
Maoni
Chapisha Maoni