'RAIS' AINGIA KATIKA ORODHA YA WACHEZAJI WALIOTHUBUTU KUZIFUMANIA NYAVU KATIKA LIGI KUU YA ZANZIBAR

Tukiwa tunasubiria kuanza kwa mzunguko wa 3 wa Ligi kuu ya Zanzibar kwa ukanda ya Unguja, mzunguko ambao inatarajiwa kuanza tarehe  21/10/2017,ni vyema kuona orodha ya wachezaji waliouthubutu kuonyesha ubora wao wa kuzifumania nyavu za timu pinzani katika mizunguko miwili ya ligi hio iliyomalizika.
Ambapo katika mizunguko miwili ya mwanzo mshambuliaji wetu 'Super Striker' Khamis Mussa (Rais) ameingia katika orodha ya wachezaji waliozifumania nyavu za timu pinzani, angalia jadueli hii kuona majina ya wachezaji hao, idadi ya magoli na timu wanazochezea. 


NA:

JINA LA MCHEZAJI
IDADI 
YA 
 MAGOLI

TIMU ANAYOCHEZEA
1
Nassor Ali
3
Kipanga
2
Salum Songoro
3
KVZ
3
Mudrik Muhibu 
2
KMKM
4
Salum Akida 
2
KMKM
5
Ali Haji Said (Zege)
2
JKU
6
Khamis Mussa (Rais) 
1
J/BOYS
7
Nassor Matar 
1
JKU
8
Talib Hamad
1
KIPANGA
9
Hafidh Juma Haji 
1
CHUONI
10
Shomari Waziri 
1
JKU
11
Daud Nyerere
1
KIPANGA
12
Hamad Mshamata
1
CHUONI
13
Charles Chinonso
1
CHUONI
14
  Ibrahim Hamad Hilika
1
ZIMAMOTO
15
Idrissa Simai 
1
ZIMAMOTO
16
Bakar  Mashango
1
KILIMANI CITY
17
Joseph J. Kalinga
1
KILIMANI CITY
18
Abdillah Seif Bausi
1
KILIMANI CITY
19
Ali Othman
1
MAFUNZO
20
Nyange Oth. Denge 
1
ZIMAMOTO
21
Abdallah Omar
1
POLISI
22
Rafael Mwambeleko 
1
KVZ
23
Sultan Juma
1
KVZ
24
Abas Peter John
1
BLACK SAILORS

Maoni