Itakumbukwa kwamba mnamo tarehe 16/03/2018 tulicheza mchezo wetu wa 18 wa ligi kuu ya Zanzibar msimu wa 2017/18 katika dimba la uwanja wa Amani, mchezo ulikuwa wa kuvutia, timu yetu ilicheza vyema, kiufundi na tuliwazidi Wapinzani wetu kila idara kitendo kilichopelekea tukaibuka na ushindi wa magoli 3-1.
Tafa. Muhamadi. Said
Tulipata magoli yetu katika vipindi vyote viwili, kitendo ambacho kinatafsirika kwamba tulikuwa bora katika vipindi vyote viwili, magoli yetu hayakuwa ya siri wala hayakuwa na utata, na daima timu bora hufunga magoli ambayo hata kama waamuzi watakuwa na chembe ya chuki au upendeleo fulani basi huwa wanashindwa kuonyesha, kwa sababu timu haitoi nafasi kwa waamuzi kufanya hivyo, na hicho ndicho walichokifanya vijana, na hayo yote yanafanyika kutokana na mafunzo ya mwalimu sambamba na wachezaji wenyewe kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi kile wanachofunzwa.
Makoli yetu yalifungwa na Helfein Salum 'Fini' katika dakika ya 12 ya mchezo ambapo Mustafa Vuai 'Tafa' kwa ufundi mkubwa akamtolea pasi Fini na yeye bila ajizi akiwa ndani ya box la 18 akaukwamisha wavuni huku akimuacha kipa wa Kilimani City akigaragara katika nyasi bandia, lakini goli la pili likafungwa na mchezaji mkongwe Abdi Kassim 'Babi' katika dakika ya 83 7a mchezo ambapo alipokea pasi safi na murua kutoka kwa Muhamadi Soud (Makamo) na bila ya ajizi Babi kwa mguu wake wa kushoto akamuangalia golikipa wa Kilimani City ambaye alikuwa ametoka kidogo sana na Babi akatumia mwanya huohuo kuweka goli la pili na goli la tatu likawekwa wavuni na mshambuliaji mwenye nguvu, akili na uwezo wa hali ya juu kuwasumbuwa mabeki wa timu pinzani, si mwengine ni kijana kutoka kijiji cha Mkwajuni Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja Muhamadi Soud, goli hilo alilifunga katika dakika ya 93 ya mchezo ambapo alipokea pasi ndefu iliyopigwa na kiungo mkabaji Said Yussuf (Kitarabu).
Kwa niaba ya washabiki, viongozi, wadau, wapenzi na watendaji wote wa mtandao napenda kuwapa pongezi wafungaji wa magoli hayo Helfein Salum, Abdi Kassim na Muhammad Soud pia pongezi ziwaendee wote waliotoa pasi za magoli haya Mustapha Vuai, Muhammadi Soud na Saidi Yussuf (Kitarabu), pongezi hizi pia ziwaendee wachezaji wote waliocheza katika mchezo ule na hata wale waliokuwa hawakucheza kwa sababu ushindi ni wa timu nzima.

Harrah's Casino New Orleans - MapYRO
JibuFutaHarrah's Casino New 공주 출장안마 Orleans offers 2100 rooms and suites, as well 경상남도 출장안마 as more than 650 slot machines, 70 table games, a full-service 동두천 출장안마 spa, 남원 출장마사지 a 24/7 김해 출장샵 poker room,