HAPPY BITHRDAY TO KIBOBEA

Uongozi wa Jang'ombe Boys unamtakia kila la kheri mchezaji wake Ame Kiboboa katika siku yake ya kuzaliwa.

Katika siku yake hii yakuzaliwa Kibobea pia anaungana na mastaa kadhaa ulimwenguni katika tasnia mbali mbali wakiwemo wachezaji mpira.



Hivyo kibobea jione kwamba wewe ni mtu wa thamani sana kwa kuzaliwa katika siku hii, ambayo imesheni watu wenye majina makubwa katika fani zao, ambapo ukiwa kama mchezaji mpira unaungana katika siku yako hii adhimu sambamba na golikipa msataa maarufu Peter Schmeichel wa Denmark.

Kwa niaba ya uongozi, washabiki, wachezaji na wadau wote wa Jang'ombe Boys, tunakutakia maisha yenye utulivu na mafanikio katika umri wako wote ambao Allah atakubakisha katika ulimwengu.

----------Happy Birthday to you!---------

Maoni