Wachezaji 30 wanaounda kikosi Kamili cha Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)



Makipa:
Ahmed Ali "Salula" (Taifa ya Jang'ombe)
Nassor Mrisho (Okapi)
Mohammed Abdulrahman "Wawesha" (JKU)


Kikosi cha zamani  Zanzibar Heroes



Mabeki:
Ibrahimm Mohammed "Sangula" (Jang'ombe Boys)
Abdallah Haji 'Ninja'(Yanga)
Mohd Othman Mmanga (Polisi)
Adeyum Saleh "Machupa" (Kagera Sugar)
Haji Mwinyi Ngwali (Yanga)
Abubakar Ame "Luiz" (Mlandege)
Issa Haidar "Mwalala" (JKU)
Abdulla Kheir "Sebo" (Azam)
Ibrahim Abdallah (Taifa ya Jang'ombe)


Viungo:
Abdul-swamad Kassim 'Haz-gut' (Miembeni City)
Abdul Aziz Makame 'Abui' (Taifa ya Jang'ombe)
Mudathir Yahya 'Muda' (Singida United)
Omar Juma "Zimbwe" (Chipukizi)
Mohd Issa "Banka" (Mtibwa Sugar)
Amour Suleiman 'Pwina' (JKU)
Mbarouk Marshed (Super Falcon)
Ali Yahya (Academy Spain)
Hamad Mshamata (Chuoni)
Suleiman Kassim 'Seleembe'(Majimaji)

Washambuliaji:
Kassim Suleiman (Prisons)
Matteo Anton (Yanga)
Ali Badru (Taifa ya Jang'ombe)
Feisal Salum (JKU)
Salum Songoro (KVZ)
Khamis Mussa "Rais" (Jang'ombe boys)
Mwalimu Mohd (Jamhuri)
Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto).

Kikosi hicho ambacho kimetajwa leo na kocha  mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes),Hemed Suleiman (Morocco) kina jumla ya wachezaji 30, ambao watajiandaa na baadae kusafiri kwa Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 hadi Disemba 9, 2017 jijini Nairobi - Kenya.

Maoni