KAMATI YA KOMBE LA MAPINDUZI YAACHIA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MAPINDUZI CUP 2017/2018


Hatimae Kamati mpya ya kusimamia kombe la mapinduzi yaani Mapinduzi CUP 2017/2018 imetoa orodha ya timu shiriki kwa mwaka huu wa 2017/2018, Timu hizo ni kama zifuatazo:

1. JKU
2. Zimamoto
3. Mlandege
4. Jamuhuri
5. Mwenge
6. Yanga
7. Simba
8. Azam na
9. URA - Uganda.

Hii ni kwa mujibu wa ukuta wa Facebook wa kamati hio https://www.facebook.com/mapinduzicup.zanzibar.7




Maoni