Kikosi cha timu ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) chatangazwa na Hemed Suleiman “Morocco”, ambapo ametangaza kikosi hicho kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya timu yake ya Zanzibar dhidi ya Libya katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 08:00 za mchana.
Lakini kwa wenyeji wa Zanzibar na wale wafuatiliaji wa ligi ya Zanzibar wataungana na mimi kwamba licha ya kocha Morocco kuwapumzisha nyote wengi wa kikosi cha kwanza cha timu yake lakini ni dhahiri kwa kikosi alichokipanga hakuna unafuu kwa Libya na kwa timu yeyote itayocheza na 'Zanzibar Heroes'.
Hichi hapa kikosi cha Zanzibar Heroes VS Libya
ZANZIBAR HEROES
1. Ahmed Ali (Salula) 1
2. Mohd Othman Mmanga 6
3. Haji Mwinyi Ngwali 16
4. Abdullah Haji (Ninja) 5
5. Issa Haidar Dau (Mwalala) 8 (Captain)
6. Abdul azizi Makame (Abui) 21
7. Seif Rashid (Karihe) 12
8. Abdul swamad Kassim (Hasgut) 22
9. Khamis Mussa (Rais) 28
10. Amour Suleiman (Pwina) 14
11. Adeyum Saleh 20
WACHEZAJI WA AKIBA
1. Mohd Abrahman (Wawesha) 18
2. Nassor Mrisho Salum 30
3. Ibrahim Mohd (Sangula) 15
4. Ibrahim Abdallah 2
5. Abdulla Salum Kheri (Sebo) 13
6. Mohd Issa (Banka) 10
7. Mudathir Yahya 4
8. Ibrahim Hamad Hilika17
9. Feisal Salum (Fei Toto) 3
10. Hamad Mshamata 9

Maoni
Chapisha Maoni