USIKOSE KUPATA DONDOO KUTOKA KWA WACHEZAJI WA ZANZIBAR HEROES JUU YA MCHEZO DHIDI YA KENYA.

Mtandao huu utazungumza na wachezaji mbali mbali wa Zanzibar Heroes kuhusiana na mchezo wa Kesho dhidi ya Kenya (Harambee Stars).




Hivyo usiache kupitia hapa Mara kwa Mara ili kujuwa, matarajio ya wachezaji kuhusu mchezo huo.

Tutakuungamisha na wafuatao:

Salula, Rais, Hilika, Sangula, Abui, Seleembe, Hazgut, Fei Toto, Wawesha, Ninja, Mshamata, Mngwali na nyota wengine wa Zanzibar Heroes.

Usipitwe mtu wangu.

Maoni