JISHINDIE 5,000/- YA BURE KWA KUJIBU SUALI LIFUATALO

Ukiwa wewe ni mkereketwa wa Jang'ombe Boys, jibu suala hili ili ujishindie 5,000/-.


Sualai:
Jee msimu wa ligi wa mwaka jana 2016/17 tarehe kama ya leo 24/02, timu yetu ilikuwa nafasi ya ngapi na ilikuwa na alama ngapi?

Mwisho wa kujibu ni saa tano na nusu usiku, zawadi itatolewa Mara baada atakaejibu suali hilo kwa ufasaha.

Masharti:


  • Kiongozi ngazi yeyote haruhusiwi kujibu.
  • Wachezaji wa mwaka Jana na waliopo sasa wote wanaruhusiwa.
  • Kwa asiyekuwa mchezaji ni lazima awe na kadi ya uanachama au risiti ya malipo ya uanachama.


Zawadi itatolewa na wahudumu wa mtandao huu.

Maoni